thumbnail

About us

MADRASAT BADRUL HUDAA  ni madrasa inayomilikiwa na vijana wenye elimu ya dini na elimu dunia pia . Ina uwongozi unaojitosheleza kwa masuala mbalimbali.


Katika madrasa yetu tuna mikakati na miono mbalimbali tofauti tofauti ili kufikisha mbali elimu na kutangaza dini yetu ya kiislam. Pia tuna karibisha na kutoa nasaha kwa madrasat tofauti ili kuweka mshikamano na kuondoa tofauti katika masuala ya dini yetu.
Kama ilivyo kawaida yetu waislam kujuzana na kuhabarishana kuhusu masuala ya kidini tuna walika vijana kwa wazee kuja kujifunza na kutufunza katika madrasa yetu. Tuna toa fursa za dhati kabisa na kipaumbele kwa jamii yetu inayotuzunguruka ili kujifunza, Kuelimika  na kuvunia mustaghbari wa dini yetu.

No Comments

About

Powered by Blogger.