hii ni moja ya mradi tunaofanya kama kikundi cha wanachuo cha badrul hudaa kwetu mtoni mtongani na kama unahitaji wasiliana nasi tukupatie kilicho bora zaidi
Kusoma ni fardhi na ni furaha kama picha hii inavyojionyesha kwa vijana wetu amabao ndio nguzo ya dini yetu ya kiislam na njia moja wapo ambayo ni ya kheri na allah atafanya wepesi inshaallha